Wednesday, December 28, 2016

DSS TV: FAMILIA YA KABOLE YATOA SHUKRANI......

Familia ya Kabole yatoa shukrani kwa watu wote waliofanikisha sherehe ya mtoto wao mpendwa Shiloo Kabole tarehe 26/12/2016 nyumbani kwake chapwa 





Tuesday, December 27, 2016

A SHOW YA KALA JEREMIAH ILIVOTIKISA UWANJI HILL MPEMBA

kala jeremiah akiongea na dsstv atoashukulani zapekee kwa mkurugenzi wa uwanji hill mpemba
kwa kutambu umhim wake na kumleta kwa maraya ya pili pia atoapongezi kwa mkurugenzi wa
 dss tv 




KALA AKIPOKELEWA NA WATANGAZAGI WA DSS TV







DSS TV: MCHUNGAJI WA KANISA LA KKKT AWAKANYA WAUMINI

















Mchungaji Mlawa akihubiri katika ibada ya ubatizo wa watoto uliofanyika tarehe 26.12.2016 katika
 kanisa la KKKT Tunduma Sogea amewakanya waumini kuwa wanapo wabatiza watoto wawalee  katika maadili mema na wanapotoka kanisani wasifungulie mziki wa kidunia. Pia wasiweke pombe na kwa wale wanandoa wasipende kulala nje ya ndoa siku za sikukuu na kutelekeza familia zao, na kuwa kama kinyonga" leo kanisani kesho kwenye kumbi za starehe kwani siyo maadili mema hata mungu hawaelewi mko upande gani muwe na msimamo kwani siku tulizopo ni za mwisho"





                                                  FAMILIA YA KABOLE

Friday, December 23, 2016

DSS Tv JOKA KUBWA LA KUTWA KWENYE GARI


JIONEE MWENYEWE USIUDHARAU UJUMBE HUU MUHIMU KWAKO JIONI YA LEO
Salalome na Dan walirudi kuwasalimia wazazi wao baada ya kuoana na kuhamia mjini na kukaa zaidi ya mwaka bila kurudi kijijini.
Lakini pamoja na safari yao hii pia walikuwa wakienda kuwaonyesha gari lao jipya aina ya benzi walilolinunua.
Wazazi na ndugu wengi wakawapokea kwa furaha na kufurahi sana mafanikio ya vijana wao na kufanya sherehe ndogo.
Siku tatu baadae wakaanza safari ya kurudi mjini na walipokuwa njiani wakawa wanasikia kitu kikitoa sauti ya ajabu katika boneti la gari.
Wakashuka na walipofungua walishangaa kumwona chatu mkubwa akiwa katika boneti la gari yao akijiandaa kuwarukia.
Bahati nzuri watu walikuwepo wakajaribu kuwasaidia ingawa kila walipompiga nyoka yule aliwashangaza kwa kutoa sauti za mtoto mchanga anaye lalamika.
Wakasali huku wakimpiga nyoka yule na akafa na wao wakaendelea na safari yao mpaka mjini.
Walipofika mjini wakashangaa kupokea habari za misiba ya wajomba zao watatu waliokufa kwa pamoja kwa vifo vya utata huku wakilalamika kuwa walitaka kuwaua salome na Dan kwa ajali ya gari kwa wivu.
Kumbuka kama utamtegemea Mungu basi hakika hutapatwa na matatizo na mwaka huu kila mtego wa adui shetani wa vibaraka wake hautakufikia na badala yake wataaibika wao katika JINA linalopita majina yote AMEN
Comment AMEN kama huna dharau na waamini kuwa Mungu atakupigania dhidi ya maadau zako na kukupa afya na maisha mazuri huku ukipata mafanikio.

UJIO WA KALA JEREMIAH. TUNDUMA WALETA GUMZO KWA WATANGAZAJI WA DSS TV

LYON YAIZUIA YANGA KUTUA KILELENI LIGI KUU BARA

NA KENNEDY SIMUMBA,DSS TV
Timu ya Yanga yenye masikani yake mtaa wa Jangwani jijini Dar Es Salaam jioni ya leo imeshindwa kukwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya African Lyon.Lyon walikuwa wa kwanza kupata bao lakini mshambuliaji Mrundi Amis Tambwe akaisawazishia Yanga katika mechi iliyochezwa uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam.

Thursday, December 22, 2016

DSS TV: KALIBU BAHALI ZOO SASA TUNDUMA

Kiongozi wa msafara Faraja Mbwambo akiongea na Dss Tv amesema kuwa  wananchi wa Tunduma hawatakiwi kuikosa furusa  hii kwa sababu ni muhimu sana kujivunia utarii wa ndani Njoo uwaone wanyama 
 Simba,Fisi, Mbega na Chatu katika Shule ya msingi Mwaka kuanzia tarehe24/12/2016 mpaka tarehe 1/1/2017








Tuesday, December 20, 2016

DSS TV: .UJIO WA KALA JEREMIAH

Uwanji Hill Hoter Mpemba Dss Tv wanakuletea show kali ya  Kala Jeremiah tarehe 25/12/2016
Kiingilio ni sh 5000 tu, usikose show ya kijanja yakufunga mwaka ndani ya Mkoa wa Songwe

Monday, December 19, 2016

NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR CHADEMA ASEMA UMOJA NI NGUVU.

NA NEEMA JUSTIN DSS TV,
MH.SALUM MWALIM, NABU KATIBU MKUU CHADEMA ZANZIBAR.

Naibu katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Salum Mwalim amesema umoja na mshikamano ndani ya chama  ni njia pekee kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Akizungumza na viongozi wa chama kwenye ukumbi wa Honey Moon mjini Tunduma,Mheshimiwa Mwalim amesema viongozi na wanachama wanatakiwa kufuta kabisa ukabila ndani ya chama ili kujenga msingi utakaokipatia chama ushindi mkubwa mwaka 2020.Amesema wanazunguka Tanzania nzima ili kuimarisha chama na kutoa dozi kwa CCM.
Kwa upande mwingine Mwalim amesema kwa hali ilivyo kwa sasa hata wana CCM wenyewe pamoja na viongozi wao wanatamani UKUTA ukizingatia wanafunzi wa wengi wamenyimwa mkopo wa elimu ya juu.

LOWASA AKOSEKANA
Akizungumza na DSS TV juu ya kutokuwepo kwa waziru mkuu mstaafu na mjumbe wa halmashauri kuu mheshimiwa Edward lowassa amesema alipata udhuru wa kifamilia wakiwa Tabora hivyo akarudi Dar Es Salaam.




Wednesday, December 14, 2016

DSS TV YATEMBELEA TUNDUMA DIGITAL CABLE SUPPLIER

NA KENNEDY SIMUMBA,NEWS ROOM REPORTER
DSS TV leo imefanya ziara kwenye mitambo ya TUNDUMA DIGITAL CABLE TV SUPPLIER ilyopo kata ya Sogea ndani ya halmashauri ya mji wa Tunduma.angalia picha zaidi hapo chini.












  AFISA  MASOKO WA DSS TV BW,SADIKI SANGA(kushoto) AKIPEWA MAELEKEZO NA MENEJA WA TUNDUMA DIGITAL CABLE BW,HASSAN(kulia)