Kwa mara ya kwanza Mkoani Songwe limeandaliwa pambano la Masumbwi kati ya Sitava dhidi ya Mapepe raundi 8 na Osward dhidi ya Alex raundi 6.Wakizungumza na Dss Tv kwa pamoja mabondia Osward na Sitava kutoka Tunduma Songwe wamesema wamejiandaa vya kutosha na wapizani wao kutoka Kiwila Mbeya.
No comments:
Post a Comment