Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

Sunday, April 9, 2017

HARUSI KUBWA ILIO FANYIKA MAKUTI MPEMBA YA MR & MRS MIKAYA NA ROSE

Kwa sababu hiyo mtu atamwacha Baba yake na mama yake ataambatana na Mkewe na hao wawili watakua mwili mmoja Efeso 5.11 MIKAYA NA ROSE kuanzia leo ni mme na mke







 

Thursday, November 17, 2016

SHUKURANI ZA DHATI KWA MAN CHENCHECHELE

Msanii wa mziki wa  Hip Hop wamewashukuru mashabiki wote waliomsapoti wakati wa show ya uzinduzi wa Albam yake iliyofanyika tarehe 13/11/2016 kwenye ukumbi wa Uwanji hill Mpemba.
Akizungumza na DSS TV Man Chenchechele amesema binafsi hana maneno mengi zaidi ya kuwashukuru wote waliojitoa kwa hali na mali kufanikisha uzinduzi huo.














Tuesday, October 25, 2016

SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA B.CHEDDE UWANJI HILL HOTEL KATIKA PICHA














ANGALIA PICHA NZURI ZA MATEMBEZI(TOUR) YA WAFANYAKAZI WA DSS MEDIA

Wafanyakazi wa DSS MEDIA watoa shukrani za kipekee kwa Promotion Manager David S.Sanga.Na hizi ni baadhi ya picha zilizpingwa na CAMERA MAN wa DSS MEDIA.





 CAMERA MAN









 MY LOVERRRRRRRRRRRRR.


PROTOMOTION MANAGER

MY

Monday, October 17, 2016

KWA UDHAMINI WA DSS MEDIA WANAKULETEA UZINDUZI

DSS MEDIA INAKULETEA UZINDUZI WA VIDEO KALI YA B.CHEDDE.
Kwenye uzinduzi huo  kutakuwa wasanii kibao kama vile I JAY MKALI WA MICHANO, MECKON,MANSURY,SLY B,TWACH NA WENGINE  KIBAO BILA KUMSAHAU BANTU MAN.
TANGAZA NASI