Tuesday, December 27, 2016

DSS TV: MCHUNGAJI WA KANISA LA KKKT AWAKANYA WAUMINI

















Mchungaji Mlawa akihubiri katika ibada ya ubatizo wa watoto uliofanyika tarehe 26.12.2016 katika
 kanisa la KKKT Tunduma Sogea amewakanya waumini kuwa wanapo wabatiza watoto wawalee  katika maadili mema na wanapotoka kanisani wasifungulie mziki wa kidunia. Pia wasiweke pombe na kwa wale wanandoa wasipende kulala nje ya ndoa siku za sikukuu na kutelekeza familia zao, na kuwa kama kinyonga" leo kanisani kesho kwenye kumbi za starehe kwani siyo maadili mema hata mungu hawaelewi mko upande gani muwe na msimamo kwani siku tulizopo ni za mwisho"





                                                  FAMILIA YA KABOLE

No comments:

Post a Comment