Friday, December 23, 2016

DSS Tv JOKA KUBWA LA KUTWA KWENYE GARI


JIONEE MWENYEWE USIUDHARAU UJUMBE HUU MUHIMU KWAKO JIONI YA LEO
Salalome na Dan walirudi kuwasalimia wazazi wao baada ya kuoana na kuhamia mjini na kukaa zaidi ya mwaka bila kurudi kijijini.
Lakini pamoja na safari yao hii pia walikuwa wakienda kuwaonyesha gari lao jipya aina ya benzi walilolinunua.
Wazazi na ndugu wengi wakawapokea kwa furaha na kufurahi sana mafanikio ya vijana wao na kufanya sherehe ndogo.
Siku tatu baadae wakaanza safari ya kurudi mjini na walipokuwa njiani wakawa wanasikia kitu kikitoa sauti ya ajabu katika boneti la gari.
Wakashuka na walipofungua walishangaa kumwona chatu mkubwa akiwa katika boneti la gari yao akijiandaa kuwarukia.
Bahati nzuri watu walikuwepo wakajaribu kuwasaidia ingawa kila walipompiga nyoka yule aliwashangaza kwa kutoa sauti za mtoto mchanga anaye lalamika.
Wakasali huku wakimpiga nyoka yule na akafa na wao wakaendelea na safari yao mpaka mjini.
Walipofika mjini wakashangaa kupokea habari za misiba ya wajomba zao watatu waliokufa kwa pamoja kwa vifo vya utata huku wakilalamika kuwa walitaka kuwaua salome na Dan kwa ajali ya gari kwa wivu.
Kumbuka kama utamtegemea Mungu basi hakika hutapatwa na matatizo na mwaka huu kila mtego wa adui shetani wa vibaraka wake hautakufikia na badala yake wataaibika wao katika JINA linalopita majina yote AMEN
Comment AMEN kama huna dharau na waamini kuwa Mungu atakupigania dhidi ya maadau zako na kukupa afya na maisha mazuri huku ukipata mafanikio.

No comments:

Post a Comment