Saturday, September 3, 2016

ST. KAWAWA TUITION CENTER >TANGAZO LA TUITION YA PRE FORM ONE KWA WANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA

S.T KAWAWA TUITION CENTER wanaopatikana MAPOROMOKO TUNDUMA Tunawakaribisha wazazi na walezi wote wenye watoto wakaokwenda kuhitimu darasa la saba tarehe 7 na 8 mwezi huu wa Septemba.Lakini pia tuna TUITION kwa wanafunzi wote kaunzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita.
Masomo yataanza Jumatatu ya tarehe 12.9.2016.
MASOMO YATAKAYOFUNDISHWA NI KAMA IFUATAVYO
PHYSICS,CHEMISTRY,MATHEMATICS,GEOGRAPHY,BIOLOGY,HISTORY,ENGLISH LANGUAGE,CIVICS NA KISWAHILI
ADA KWA MWEZI NI SHILINGI 15,000
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA
0757579131 NA 0789598123

MWALIMU KAWAWA SICHONE MENEJA WA KITUO CHA ST .KAWAWA

KIBAO CHA KITUO CHA ST,KAWAWA

No comments:

Post a Comment