Kiongozi wa msafara Faraja Mbwambo akiongea na Dss Tv amesema kuwa wananchi wa Tunduma hawatakiwi kuikosa furusa hii kwa sababu ni muhimu sana kujivunia utarii wa ndani Njoo uwaone wanyama
Simba,Fisi, Mbega na Chatu katika Shule ya msingi Mwaka kuanzia tarehe24/12/2016 mpaka tarehe 1/1/2017
No comments:
Post a Comment