Thursday, October 27, 2016

Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’

Rais John Magufuli anaongoza  kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa jamii.

Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kutangazwa, Rais Magufuli anachuana na Rais wa Mauritius,  Ameenah Gulib;  Mwendesha Mashtaka wa Afrika Kusini, Thuli Madonsela; Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Taifa la Rwanda.

Mpaka jana jioni, Dk Magufuli alikuwa anaongoza kwa asilimia 75 likifuata Taifa la Rwanda na nafasi ya tatu alikuwa Madonsela wa Afrika Kusini.

Rais Magufuli anayetimiza mwaka mmoja madarakani wiki ijayo, utendaji wake umeonekana kuwagusa wananchi wa kipato cha chini, hasa kwa falsafa yake ya Hapa Kazi, uwajibishaji na mikakati yake ya kubana matumizi ili kuokoa fedha kwa kuzuia sherehe zisizo na tija.

Edward Lowassa Anena Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli


 Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa amechambua mwaka mmoja wa uongozi wa Rais John Magufuli tangu aingie madarakani akisema kuna mafanikio machache katika baadhi ya maeneo, lakini maisha ya wananchi yamezidi kuwa magumu.

Lowassa ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 aliungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alisema hayo jana katika andishi lake kwa vyombo vya habari.

Mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa waziri mkuu katika Serikali ya Awamu ya Nne kabla ya kujiuzulu mwaka 2008, amesema katika andishi hilo kwamba, “kile ambacho tulikisema wakati ule kwa nini tunataka mabadiliko, hivi sasa kila mtu anakiona.

“Kwamba pamoja na mafanikio machache katika baadhi ya maeneo, lakini maisha yamezidi kuwa magumu, ajira imeendelea kuwa bomu linalosubiri kulipuka, elimu bure iliyoahidiwa siyo inayotekelezwa, utumishi wa umma umekuwa kaa la moto.”

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPAhttp://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/psle.htm

Image result for WANAFUNZI

Wednesday, October 26, 2016

WAZANZIBARI WAFUNGUA KESI KUPINGA MUUNGANO

NA HAMIS MOHAMED DSS TV,ZANZIBAR,
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi mahakamani kupinga uhalali wake.
Kesi hiyo ilifunguliwa jana katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) na Rashid Salum Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999, katika Masijala ndogo ya mahakama hiyo iliyoko jijini Dar es Salaam.
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

VIDEO:MAN CHENCHELE:BABY WA MASHAKA DSS PRODUCTION.

DSS TV TUNAILETA KWAKO NGOMA MPYA YA GENIUS CREW:UWEPO WAPO

Tuesday, October 25, 2016

SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA B.CHEDDE UWANJI HILL HOTEL KATIKA PICHA














ANGALIA PICHA NZURI ZA MATEMBEZI(TOUR) YA WAFANYAKAZI WA DSS MEDIA

Wafanyakazi wa DSS MEDIA watoa shukrani za kipekee kwa Promotion Manager David S.Sanga.Na hizi ni baadhi ya picha zilizpingwa na CAMERA MAN wa DSS MEDIA.





 CAMERA MAN









 MY LOVERRRRRRRRRRRRR.


PROTOMOTION MANAGER

MY

ANGALIA PICHA KALI ZILIZO PINGWA NA CAMERA MAN WA DSS MEDIA


 DSS TV ikiwa inaongea na camera man wa dss media  arisema ana
mshukuru MUNGU kwa kumpa kipaji hicho pia ameahidi kuitumikia kwa uaminifu dss media na jamii kwa ujumla.

 camera man fb sadiki sanga


 kwa isani ya dss media

Wednesday, October 19, 2016

PASTOR FARAJA ATOA SHUKURANI ZA PEKEE KWA WANANCHI WA TUNDUMA HUSUSANI WAKAZI WA KISIMANI


 NA PASCALINA NSENYE DSS TV,
Mchungaji Faraja wa kanisa la RESTORATION Tunduma ametoa shukurani za dhati kwa wananchi wa Tunduma kwa namna ambavyo walimpokea alipofanya mkutano wa injili mtaa wa Kisimani.
Akiongea na DSS TV, Mchungaji Faraja amesema kuwa anawashukuru kipekee sana wakazi wa Tunduma waliojitokeza kwenye mkutano wake injili.
Mchungaji huyo ilifanya mkutano wa nje kwa mara ya kwanza ndani ya mji wa Tunduma.


TUTAMLAKI KWAYA KATETE CHIPAKA

Tuesday, October 18, 2016

PASTOR FARAJA KUTOKA RESTORATION KUFANYA MKUTANO WA NJE KISIMANI

NA PASCALINA NSENYE DSS TV,
Baada ya kufanya mikutano mingi ya ndani, Mchungaji wa kanisa la Restoration lililopo Tunduma. leo Juma nne tarehe 18.10.2016 utafanyika mkutano mkubwa kisimani Tunduma saa 10:00 jioni. Kwenye mkutano huo kutakuwa na waimbaji mbalimbali kama vile, Jesco na wengine wengi.
Nyote mnakaribishwa.
MWIMBAJI JESCKO EPHRAIM

Monday, October 17, 2016

KWA UDHAMINI WA DSS MEDIA WANAKULETEA UZINDUZI

DSS MEDIA INAKULETEA UZINDUZI WA VIDEO KALI YA B.CHEDDE.
Kwenye uzinduzi huo  kutakuwa wasanii kibao kama vile I JAY MKALI WA MICHANO, MECKON,MANSURY,SLY B,TWACH NA WENGINE  KIBAO BILA KUMSAHAU BANTU MAN.
TANGAZA NASI

USIKOSE KUANGALIA MOVIE MPYA YA FACE OF LOVE KWA HISANI YA DSS MEDIA

USIKOSE KUANGALIA MOVIE YA FACE OF LOVE ILIYOTENGENEZWA REDMOON NA DSS MEDIA.KWA SASA IPO SOKONI


Saturday, October 15, 2016

VIDEO:NYUMBA MOJA YATEKETEA KWA MOTO SOGEA, TUNDUMA



NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Nyumba moja ya mkazi wa mtaa wa Jakaya kata ya Sogea mjini Tunduma,Alex imeungua kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika.
Mheshimiwa diwani wa kata ya Sogea Mwavirenga pamoja na mashuhuda wa tukio hilo wote kwa pamoja wamesema chanzo cha kuwaka kwa moto huo hakijafahamika.
Lakini pia mheshimiwa diwani ameishuru mamlaka ya mji wa Nakonde Zambia kwa kusaidia gari la zimamoto.
Kwa upande wake mhanga wa tukio hilo bwana Alex ameshindwa kabisa kuzungumza na DSS TV..
KWA HABARI ZAIDI ANGALIA VIDEO HII.

BREAKING NEWS:NYUMBA MOJA YAWAKWA MOTO SOGEA,TUNDUMA

NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Nyumba moja ya mkazi wa mtaa wa Jakaya kata ya Sogea mjini Tunduma,Alex imeungua kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika.
Mheshimiwa diwani wa kata ya Sogea Mwavirenga pamoja na mashuhuda wa tukio hilo wote kwa pamoja wamesema chanzo cha kuwaka kwa moto huo hakijafahamika.
Lakini pia mheshimiwa diwani ameishuru mamlaka ya mji wa Nakonde Zambia kwa kusaidia gari la zimamoto.
Kwa upande wake mhanga wa tukio hilo bwana Alex ameshindwa kabisa kuzungumza na DSS TV.
DSS TV itaendele kukupa taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilio.
KWA HABAR ZAIDI ZA VIDEO INGIA YOUTUBE DSS TV TUNDUMA TZ,FB PAGE DSS Tv,INSTAGRAM DSS MEDIA NA www.sadikitv.blogspot.com.
 SHUHUDA  AKIONGEA NA DSS TV
 MWENYEKITI WA MTAA WA JAKAYA AKIONGEA NA DSS TV.
 MHESHIMIWA MWAVIRENGA DIWANI KATA YA SOGEA

GARI LA ZIMAMOTO LILILOAZIMWA NCHINI ZAMBIA

USIKOSE KUANGALIA STUDY TOUR YA ST.KAWAWA TUITION CENTER KITUO CHA HALI YA HEWA MBOZI


NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV
WANAFUNZI  WAKIWA WANAJIAANDAA KUONDOKA

 WAKIPANDA KWENYE GARI





MAFUNZO YAKIENDELEA