Saturday, October 15, 2016

VIDEO:NYUMBA MOJA YATEKETEA KWA MOTO SOGEA, TUNDUMA



NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Nyumba moja ya mkazi wa mtaa wa Jakaya kata ya Sogea mjini Tunduma,Alex imeungua kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika.
Mheshimiwa diwani wa kata ya Sogea Mwavirenga pamoja na mashuhuda wa tukio hilo wote kwa pamoja wamesema chanzo cha kuwaka kwa moto huo hakijafahamika.
Lakini pia mheshimiwa diwani ameishuru mamlaka ya mji wa Nakonde Zambia kwa kusaidia gari la zimamoto.
Kwa upande wake mhanga wa tukio hilo bwana Alex ameshindwa kabisa kuzungumza na DSS TV..
KWA HABARI ZAIDI ANGALIA VIDEO HII.

No comments:

Post a Comment