NA PASCALINA NSENYE DSS TV,
Mchungaji Faraja wa kanisa la RESTORATION Tunduma ametoa shukurani za dhati kwa wananchi wa Tunduma kwa namna ambavyo walimpokea alipofanya mkutano wa injili mtaa wa Kisimani.
Akiongea na DSS TV, Mchungaji Faraja amesema kuwa anawashukuru kipekee sana wakazi wa Tunduma waliojitokeza kwenye mkutano wake injili.
Mchungaji huyo ilifanya mkutano wa nje kwa mara ya kwanza ndani ya mji wa Tunduma.
No comments:
Post a Comment