Saturday, October 15, 2016

BREAKING NEWS:NYUMBA MOJA YAWAKWA MOTO SOGEA,TUNDUMA

NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Nyumba moja ya mkazi wa mtaa wa Jakaya kata ya Sogea mjini Tunduma,Alex imeungua kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika.
Mheshimiwa diwani wa kata ya Sogea Mwavirenga pamoja na mashuhuda wa tukio hilo wote kwa pamoja wamesema chanzo cha kuwaka kwa moto huo hakijafahamika.
Lakini pia mheshimiwa diwani ameishuru mamlaka ya mji wa Nakonde Zambia kwa kusaidia gari la zimamoto.
Kwa upande wake mhanga wa tukio hilo bwana Alex ameshindwa kabisa kuzungumza na DSS TV.
DSS TV itaendele kukupa taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilio.
KWA HABAR ZAIDI ZA VIDEO INGIA YOUTUBE DSS TV TUNDUMA TZ,FB PAGE DSS Tv,INSTAGRAM DSS MEDIA NA www.sadikitv.blogspot.com.
 SHUHUDA  AKIONGEA NA DSS TV
 MWENYEKITI WA MTAA WA JAKAYA AKIONGEA NA DSS TV.
 MHESHIMIWA MWAVIRENGA DIWANI KATA YA SOGEA

GARI LA ZIMAMOTO LILILOAZIMWA NCHINI ZAMBIA

No comments:

Post a Comment