Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha
Mbunge wa Dimai Hafidh Ally Tahir, bungeni mjini Dodoma Novemba 11,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Dimani,
marehemu Hafidh Ally Tahir kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba
11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Dimani,
Hafidh Ally Tahir kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 11,
2016. Mbunge huyo alifariki dunia mjijini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto), Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu,
Jenista Mhagama (wapili kulia) na Katibu wa Bunge, Dkt.Thomas
Kashililah wakisubiri kupokea mwili wa Mbunge wa Dimani, marehemu Hafidh
Ally Tahir kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma ambako ulisafirishwa kwenda
Zanzibar kwa Mazishi Novemba 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai na Kiongozi wa
Upinzania bungeni, Freeman Mbowe (kulia) wakishuhudia wakati mwili wa
mbunge wa Dimani, Hafidh Ally Tahir ukipandishwa kwenye ndege katika
uwanja wa ndege wa Dodoma ili kusafirishwe kwenda Zanzibar kwa mazishi
Novemba 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment