Harambee hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa High Class na kuhudhuriwa na viogozi mbalimbali akiwemo makamu meya wa Tunduma Mheshimiwa Herode Jivava,mwenyikiti wa Unyamwanga na mgeni rasmi alitarajiwa kuwa mheshimiwa Frank Mwakajoka mbunge wa jimbo la Tunduma ambaye aliwakilishwa na mheshimiwa Mwavirenga diwani wa kata ya Sogea.Mheshimiwa Mwavirenga aliwakabidhi walemavu cheti cha usajiri
Baba mlezi na Mama mlezi
Cheti cha usajiri
Mwenyekiti wa kikundi akikabidhiwa cheti cha usajiri
USIKOSE KUANGALIA VIDEO YA HARAMBEE HIYO KESHO KWENYE
YOUTUBE YA DSS TV TUNDUMA TZ
No comments:
Post a Comment