Monday, August 22, 2016

JESHI LA POLISI LAANZA MAANDALIZI YA KUPAMBANA NA UKUTA TUNDUMA

NA KENNEDY SIMUMBA
Katika kile ambacho wawezasema kujiandaa na kupambana na oparesheni UKUTA jeshi la polisi limeonekana kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Tunduma Momba mkoa mpya wa Songwe.Tazama picha



No comments:

Post a Comment