Monday, August 22, 2016

LIVE KUTOKA HONEY MOON HOTEL TUNDUMA

 DSS TV ipo LIVE bila chenga kutoka HONEY MOON HOTEL TUNDUMA ambapo kikao cha WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA kinaendelea na viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA

No comments:

Post a Comment