DSS TV HABARI; PROF LIPUMBA APINGWA VIKALI
DSS TV HABARI; PROF LIPUMBA APINGWA VIKALI NA WANACHAMA WA CUF.Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba ametupwa mbali kwenye kura za uenyekiti wa chama hicho.Wapiga kura 14 sawa na 2.8% wamesema ndiyo na wapiga kura 476 sawa na 97.2% wamesema hawamtaki kuwa tena mwenyekiti wao baada ya kuziuzulu mwaka jana.
No comments:
Post a Comment