Monday, October 3, 2016

MADEREVA BODABODA TUNDUMA WAFANYA KIKAO FLAMINGO HOTEL

NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Kikundi cha madereva wa bodaboda Tunduma wamefanya kikao chao kwenye hotel ya Flamingo. Kwenye kikao hicho mada kubwa ilikuwa ni mwenyekiti wao OSWARD PETRO ambaye ameshindwa kusimamia kikundi hicho.
Wakichangia mada hiyo wajumbe wa kikao hicho wamesema mwenyekiti huyo aondolewe mara moja na arudishe pesa zote za kikudi ambazo walizozikusanya kwake .
Jackison Joseph aliye kuwa mwenyekiti wa kikao hicho amesena bodu itakaa na kumjadili mwenyekiti juu swala la kumvua uongozi.
Kwa upande wake MOSES WEGA amewataka madereva wenzake kuendesha bodaboda kwa mwendo wa polepole ili kuondoa kabisa ajari zizizo za lazima.
Mhazina wa kikundi hicho Sijaona Punte
unte maarufu kama wakala amesema utaratibu wa kuunda katiba na kumtafuta mwana sheria utaanza siku chache zijazo.
KWA HABARI ZAIDI ZA VIDEO USIKOSE KUINGIA DSS TV TUNDUMA TZ, FACEBOOK
PAGE DSS TV NA www.sadikitv.blogspot.com

SIJAONA PUNTE,MHAZINA WA KIKUNDI
MADEREVA BODABODA WAKIRAHIA JAMBO

JOSEPH ANDINGILILE,MAKAMU MWENYEKITI WA KIKUNDI
JACKSON JOSEPH,KATIBU WA KIKUNDI

No comments:

Post a Comment