Thursday, October 13, 2016

DSS TV INAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE

NA KENNEDY SIMUMBA, DSS TV NEWS ROOM,
DSS MEDIA tunapenda kuwatakia watanzania wote mapumziko mema ya kumbukumbu ya 17 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere maarufu kama NYERERE DAY.
Maazimisho hayo huwa yanakwenda sambasamba na kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo  kitaifa mwaka huu yanafanyika mkoani Simiyu na mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr.John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment