Tuesday, September 6, 2016

SEHEMU ZA SIRI ZAYEYUKA BAADA YA KUMUIBIA MWANAUME ALIYELALA NAE


Mama mmoja mjini Bukoba akiwa hajielewi kwa kile kilichompata, baada ya kulala na mwanaume katika nyumba ya wageni ya Super star hamugembe na kutoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa Kigoma, na baada ya muda mama huyu alijikuta hana sehemu zake za siri hali iliyomfanya aonekane kama mtu aliyechanganyikiwa na kupelekea umati mkubwa wa watu wakimshangaa hadi pale Police walipofika maeneo ya tukio na kumchukua. Jitihada za kumpata msemaji wa Jeshi la Polisi zinaendelea , pia taarifa rasmi ya daktari kuthibitisha kama kweli mama huyo hana sehemu zake za siri.
CHANZO>MAMBOMAMBO RFA 

No comments:

Post a Comment