Wednesday, September 7, 2016

DSS TV INAWATAKIA KILA LA HERI DARASA LA SABA WOTE



Image result for wanafunzi wa shule ya msingi

DSS Tv inapenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wa darasa la saba wanaoanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kesho tarehe 7.9.2016 na kumaliza kesho kutwa tarehe 8.9.2016.

No comments:

Post a Comment