UZINDUZI WA ALBAM MPYA IITWAYO UMEPITA WOTE YA MWIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA TUNDUMA RBC
SHEKHAINA EPHRAIM
Atazindua albam yake mpya iendayo kwa jina la UMEPITA WOTE itakayofanyika ndani ya kanisa la RESTORATION BIBLE CHURCH RBC TUNDUMA KWA PASTOR EPHRAIM MWAITEBELE tarehe 02.10.2016
No comments:
Post a Comment