MOMBA ARTS GROUP
THE KING
AUTO
INAWALETEA BOXING SHOW WAPIGANAJI WA NGUMI WILAYA YA MOMBA
PAMOJA NA WAIMBAJI WA BONGO FLAVA WATAKUWEPO
UKUMBI NI NDANI YA HORIZON MKABALA NA GHOROFANI MWAKA TUNDUMA
KIINGILIO NI TSH 3,000
ITAKUWA NOMA SANAAAA
CHINI YA UDHAMINI WA BIG BON NA DSS TV
KUTAKUWA NA NA VIBWAGIZO KAMA SALAKASI,NGOMA ZA ASILI NA KULA MOTO
No comments:
Post a Comment