Monday, August 15, 2016

BREAKING NEWS:EDGAR CHAGWA LUNGU ASHINDA KITI CHA URAIS ZAMBIA

NA KENNEDY SIMUMBA
UMUNTU NI LUNGU hiyo ndiyo ilikuwa kauli mbiu ya wafuasi wa kiti cha Urais nchini Zambia kupitia chama tawala PF.Kwa mjibu wa taarifa rasmi kutoka tume ya taifa ya uchaguzi Zambia ECZ Edgar Lungu anatarajia kutangazwa mshidi baada ya kukamilika kwa zoezi la kuhesabu kura kutoka majimbo yote 156.DSS TV iakuletea taarifa zaidi.

CHANZO:The Zambian observer

No comments:

Post a Comment