Monday, August 15, 2016

BREAKING NEWS:EDGAR LUNGU ASHINDA TENA KITI CHA URAIS ZAMBIA

UMUNTU NI LUNGU hiyo ilikuwa kauli ya wafuasi wa mgombea kiti cha urais kupitia chama PF Edgar Lungu ambaye muda wote kuanzia hivi sasa atatangazwa kuwa mshindi baada kukamilika kwa zoezi la kuhesabu kura.DSS TV itakuletea taarifa kwa kina endelea kuwa nasi.


CHANZO:The Zambian observer

No comments:

Post a Comment