Msanii wa mziki wa Hip Hop wamewashukuru mashabiki wote waliomsapoti wakati wa show ya uzinduzi wa Albam yake iliyofanyika tarehe 13/11/2016 kwenye ukumbi wa Uwanji hill Mpemba.
Akizungumza na DSS TV Man Chenchechele amesema binafsi hana maneno mengi zaidi ya kuwashukuru wote waliojitoa kwa hali na mali kufanikisha uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment