DSS TV imetembelea shamba la Mchungaji Obed Sichembe wa kanisa la TAG Bonde la baraka Tunduma.Shamba hilo MPONELA BARAKA INVESTMENT lipo kijiji cha Mponela Chimbuya Mbozi Mkoa mpya wa Songwe ambapo tumejionea shughuli mbalimbali ambazo zinaendelea shambani hapo.USIKOSE KUANGALIA KIPINDI KAMILI YOUTUBE DSS TV TUNDUMA TZ NA KU_SUBCRIBE ACCUNT YA DSS TV TUNDUMA TZ.
MCH SICHEMBE AKIWA PEMBENI YA BWAWA LA MAJI
MESHACK MTAKI(KUSHOTO) AKIMHOJI MCHUNGAJI OBED SICHEMBE
No comments:
Post a Comment