NA KENNEDY SIMUMBA, DSS TV
Mwenyekiti wa halmashauri wa mji wa Tunduma Mhemiwa Ally Mwafongo
atoa mrejesho wa shughuli za maendeleo ndani ya halmashauri ya mji
wa Tunduma kwa mwaka 2015/2016.
Akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma kwenye mkutano wa hadhara wa serikali
uliofanyika kwenye viwanja Vya Shule ya msingi Mwaka mheshimiwa Mwafongo amesema tangu
waingie madarakani wamefanya shughuli nyingiza maendeleo kama vile ukarabati kwenye shule
za sekondari "J.M Kikwete na Mwalim J.K.Nyerere ukarabati wa machinjio ya Sogea, Mpemba na
majengo ya utawala kwenye shule zilzopo Tunduma.madaraja na miundo mbinu, vyoo mashuleni. Mheshimiwa Mwafongo ameongeza kuwa pia upo mkakati wa kujenga shule mpya kwenye kata za Muungano, Mwaka Kati, Chapwa na Katete
WANANCHI WAKISILIZA KWA MAKINI
WANANCHI WAKISIKILIZA KWA MAKINI
No comments:
Post a Comment