Pastor Ephuraim (Frack) abariki Ndoa ya Philipo Mwasomola na Rehema
Pasta huyo akiwa anabariki ndoa hiyo. awashauri wanandoa ambao
wanaishi kwenye ndoa bila kubariki ndoa zao. asema hawatambuliki
kama ni wana ndoa halali kwa mjibu wa Biblia. pia ashauri kwa sasa
kama hujabariki ndoa huruhusiwi kufana kitu chochote kile kinachohusina
na tendo la ndoa
No comments:
Post a Comment