NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Timu yanga imeshindwa kuvunja rekodi ya kutoshinda mechi kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona dhidi ya Ndanda ya Mtwara baada ya kutoa suluhu kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa mjini MTWARA kwenye uwanja wa NANGWANDA SIJAONA.
Kwa upande wekundu wa Msimbazi Simba wameshida mabao 2_1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye uwanja wa UHURU au SHAMBA LA BIBI jijini DAR ES SALAAM
Azam wameifunga 1_0 Tanzania Prisons kwenye uwanja wa kumbukumbu ya SOKOINE jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment