Nyumba kadhaa zimeanguka mjini manispaa na halmashauri ya Bukoba, baada ya kutokea tetemeko la ardhi ambayo kipimo chake akijaripotiwa, huku taarifa kutoka Misenyi zinasema taharuki imetanda na wakaazi wametoka nje ya nyumba ilhali taarifa za majeruhi na vifo hazijatolewa ingawa tumeshuudia watu wakikimbizwa hospitalini. Tutawaletea undani.
Pia inasemekana Tetemeko hilo limetokea CHATO NA MUSOMA..
Pia inasemekana Tetemeko hilo limetokea CHATO NA MUSOMA..
PICHA KWA HISANI YA MUUNGWANA BLOG
No comments:
Post a Comment