DSS TV leo jumapili ya taerehe 11.9.2016 imeshiriki ibada ndani ya kanisa la AFRICAN lililo
Muinjilisti wa kanisa hilo GEORGE SINKALA amesema watu wanakiwa kubadilika kwa jinsi ambavyo dunia ipo kwa sasa.
Lakini pia kanisa liliwaombea watu wote waliokumba na tetemeko la ardhi BUKOBA,CHATO na MUSOMA.
No comments:
Post a Comment