NA KENNEDY SIMUMBA DSS TV,
Kupatwa kwa jua ni kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia.Hali hiyo hupelekea dunia kushindwa kupokea mwanga wa jua. Hali hiyo imetokea kwa wakazi wa maeneo ya Mbalali mkoani Mbeya na Njombe.Lakini kwa wakazi wa mikoa ya jirani kama vile Songwe muonekano wa jua uko hivi.
MUONEKANO WA JUA MJINI TUNDUMA,PICHA KWA HISANI YA DSS VIDEO PRODUCTION
WANANCHI WAKIANGALIA KUPATWA KWA JUA MBALALI MBEYA
MKUU WA MKOA WA MBEYA AMOS MAKALLA AKIANGALIA KUPATWA KWA JUA
No comments:
Post a Comment