Friday, September 2, 2016

DSS TV TUNAOMBA RADHI KWA KUTORUSHA KIPINDI CHA STREET MUSIC SHOW KAMA ILIVYO ADA YA KILA ALHAMISI ,BADALA YAKE KITARUSHWA KESHO

NA BANTU MAN DSS TV,


 PRESENTER BANTU MAN(KUSHOTO) NA MSANII MAN KEDA A.K.A CHENCHELECHENCHELE(KULIA)

Napenda kuomba radhi kwa watazamaji wa kipindi cha STREET MUSIC SHOW kwa kutorusha kipindi hicho kila Alhamisi kama ilivyo kawaida yetu.Badala yake kipindi hicho kitarushwa kesho Jumamosi .

No comments:

Post a Comment