Baada ya kukamilika kwa ubomoaji wa majengo yaliyokuwa kwenye miliki ya barabara mjini Tunduma Momba mkoa mpya wa songwe upanuzi wa barabara ya Tunduma_Mpemba umeanza.DSS TV imetembelea sehemu hiyo na kuona kazi ikiendelea
MWANDISHI WA DSS TV AKIJIONEA UPANUZI WA BARABRA
No comments:
Post a Comment