Sunday, August 14, 2016

MATOKEO YA UCHAGUZI ZAMBIA KUTOKA MAJIMBO 122 KATI YA MAJIMBO 156

Hakainde Hichilema wa UPND anaongoza kwa kura 1,487,162 dhidi ya kura 1,428,645 za Edgar Lungu wa PF kutoka majimbo 122 kati ya 156.Tofauti ya kura ni 58,517


HUU NI UKUMBI WA MIKUTANO YA KIMATAIFA MLUNGUSHI _LUSAKA

No comments:

Post a Comment