Tuesday, August 23, 2016

MAHAKAM YA NCHIN ZAMBIA YATISHA KIAPOCHA LUGU

Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu atalazimika kusubili kwa muda zaidi kuapishwa baada ya leo mahakama ya kikatiba nchini humo kuahirisha keshi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na mpinzani wake mkuu hakainde Hichilema.Mapema wiki iliyopita Hichilema alifungua madai ya kuhesabu upya kura za urais.Edgar Lungu ilikuwa aapishwe kesho lakini atasubiri kwa muda usiojulikana.









No comments:

Post a Comment