Friday, August 19, 2016

KUTOKA KANISANI:WANANDOA WASHSURIWA KUSHIRIKIANA KAZI ZA NYUMBANI

NA KENNEDY SIMUMBA
Mchungaji wa kanisa la RESTORATION BIBLE CHURCH lililopo Tunduma EPHRAIM MWAITEBELE amesema wanandoa wanatakiwa kushirkiana kufanya kazi mbalimbaali za nyumbani kama vile kuosha vyombo,kufagia,kupika na nyingine nyingi."Unakuta mama amechoka baba umekaa tu unasema ni kazi zake,hapana jamani tusaidiane kufanya zile kazi ili mama naye apate muda wa kupumuzika".amesema mchungaji Ephraim.  





MCHUNGAJI EPHRIM MWAITEBELE RBC

No comments:

Post a Comment