Majambazi yanayodhaniwa kuua askari huko Mbande yamekamatwa muda huu maeneo ya Vikindu Pwani
Katika tukio hilo Askari mmoja aneuawa na majambazi 14 yamekamatwa
Indaiwa Wengi kati ya hao majambazi ni askari wastaafu wenye uzoefu mkubwa wa kutumia silaha kali...
Bado kiongozi wa majambazi hajajisalimisha kajificha ndani
No comments:
Post a Comment