HAKAINDE HICHILEMA (UPND)
NA KENNEDY SIMUMBA
Chama kikuu cha upinzani nchini Zambia UPND kimepeleka pingamizi mahakama kuu ya nchi hiyo kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika mapema mwezi huu na kumuweka tena madarakani Edgar Lungu wa PF.Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha PF Hakainde Hichilema amesema matokeo yaliyotangazwa si matakwa ya wazambia walio wengi na kuongeza kuwa kulikuwa na wizi mkubwa wa kura

No comments:
Post a Comment