Kikosi cha Arsenal kimeanza vibaya msimu mpya wa ligi kuu England baada ya kufungwa mabao 4_3 kwenye meche iliyochezwa kwenye uwanja wa Emirates.Mabao
ya Liverpool yamefungwa na Fillipe Coutinho dakika ya 45 na 56 ,Adam Lalana dakika ya 49 na Sadio Mane dakika ya 63 huku mabao ya Arsenal yakifungwa na Theo Walcott dakika ya 31,Alex Oxlade Chamberlain dakika ya 64 na Calum Chambers dakika ya 75.
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger
Wachezaji wa liverpool wakipunga mikono kwa mashabiki wao
Petr Cech kipa wa Arsenal na nahodha wa kikosi cha Arsenal leo
Mshambuliaji mpya wa Liverpool Sadio Mane akishangilia goli juu ya mgongo wa meneja Jurgen Klopp
No comments:
Post a Comment