Thursday, August 18, 2016

ANGALIA VIDEO BOMOA BOMOA TUNDUMA YAKWAMISHA MAHOJIANO KATI YA DSS TV NA MSANII

Zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mjini Tunduma Momba mkoa mpya wa Songwe limeleta mkanganyiko kati ya mtangazaji
wa DSS TV STREET MUSIC SHOW  BANTU MAN aliyetaka kufanya mahojiano na msanii DAZ Q  na badala yake akawa kwenye harakati za ubomoaji

1 comment: